Mama, tafadhali amka Sitasahau tukio hili na maneno haya, na siwezi kukuelezea hali yangu ya akili nilipoona tukio hili kwa mara ya kwanza. Najua kuna maelfu ya watoto kama Ramadhani Ibrahim, lakini mtoto huyu aliniathiri sana. Natumai mwenye kumjua Ramadhani Ibrahim atampa salamu zangu na kumwambia kuwa nampenda kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.