
Maelezo ya Manabii na Mitume katika Ufunuo Agosti 2019
Kabla sijazielezea nyuso za manabii na mitume nilizoziona katika njozi yangu, sina budi kukukumbusha kuwa Mtume, rehema na amani ziwe juu yake, alimuona bwana wetu Isa, amani iwe juu yake, katika sura mbili.










