Siku zitakapo pinduliwa nyuso zao katika Moto, watasema: Laiti tungeli mt'ii Mwenyezi Mungu na kumt'ii Mtume! (66) Na watasema: Mola wetu Mlezi! Hakika tuliwat'ii bwana wetu na waheshimiwa wetu, na wakatupoteza njia. (67) Mola wetu Mlezi wape adhabu maradufu, na uwalaani laana kubwa. (68) Hiyo ina maana kwamba hakuna hata mmoja wa wale unaofanya nao unafiki au kushiriki nao katika dhuluma, wizi, mauaji, au uhalifu wao atakayekufaidi katika maisha ya baada ya kifo. Aya zinazofaa kufikiria