Mei 8, 2013 Historia yangu yenye shutuma na uvumi 1 - Nilipotangaza kujiunga na wanamapinduzi katika matukio ya Mohamed Mahmoud ya 2011, ilisemekana kuwa Baraza la Kijeshi ndilo lililonituma.
Agosti 6, 2013 Mapinduzi yote ya Waarabu ni dalili tu ya kuanza kwa matukio makubwa ya kulifanya taifa letu kuwa miongoni mwa mataifa makubwa, hivyo siogopi mustakabali wa taifa letu.